Mwenyekiti Mangungu amesema mashabiki wana nguvu kubwa kwenye mchezo wa mpira wa miguu lakini jambo jema ni kwamba tumefanikiwa kufuzu na tumeongoza kundi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mangungu amezungumzia pia kuhusu mipango ya mechi zinazofuata.