Mangungu amesema tunahitaji kulipa kisasi kwa Constantine kwakuwa walitufunga kwao na pia tunataka pointi tatu ili kuongoza kundi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mangungu amelipongeza benchi la ufundi na wachezaji huku akigusia kuhusu usajili wa dirisha dogo.