Simba Sports Club
News

VIDEO: Mamia ya vijana wajitokeza Meja Isamuhyo kuanza majaribio

16 Jul 2023

Jopo la Wataalam kutoka klabuni wameongoza majaribio ambapo watawachuja na kupata wale ambao wana vipaji zaidi.

Tazama Video hii mpaka mwisho kujionea uwezo walionao vijana hawa ambao tunawategemea kuwa wanasoka wa baadae.

Advertisement
Back to homepage
Share this story