Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Malengo yalikuwa kufika fainali, Sasa tunalitaka taji lenyewe

16 May 2025

Kapombe amesema kila mchezaji atakayepata nafasi ya kucheza mchezo wa fainali atakuwa tayari kuhakikisha anaisaidia timu kupata matokeo chanya ili kufikia malengo tuliyojiwekea.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kapombe ametoa tofauti ya mchezo tuliocheza na Berkane kipindi cha nyuma na mechi ya kesho.

Advertisement
Back to homepage
Share this story