Wawili hao wamefunguka mambo mengi kuhusu mechi hizo tukianza na mchezo wa kesho wa hatua ya CRDB Federation Cup dhidi ya B19.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho wamezungumzia mchezo wa Dabi ya Kariakoo uliopita dhidi ya Yanga uliopigwa wiki iliyopita.