Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Magori asimulia historia ya maisha yake ndani Simba

30 Apr 2025

Magori amesema mwaka 2008 alikuwa mmoja ya viongozi walioanzisha Mfumo wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutoka Chama cha Soka (FAT).

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Magori ameelezea mipango kuelekea fainali ya Kombe la Shirikisho pamoja na usajili kuelekea dirisha kubwa la usajili.

Advertisement
Back to homepage
Share this story