Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Maema afurahi tuzo ya 'Man of the Match'

2 Apr 2026

Maema amesema sio rahisi kutoka kutoka kwenye mapumziko na timu kuonyesha kiwango safi na kupata alama tatu kitu ambacho kinarejesha hali ya kujiamini kwa timu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Maema amezungumzia mchezo ujao wa Mzizima Dabi dhidi ya Azam FC na kutuma ujumbe kwa mashabiki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story