Maema amesema moja ya kitu kilichomvutia kujiunga nasi ukiacha na wachezaji na benchi la ufundi ni jinsi mashabiki wanavyoipenda timu yao nakuwa nayo kila mahali.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Maema amezungumzia historia ya maisha yake ya soka na jezi anazopendelea kuvaa.