Mzee Kisiwa amesema utaratibu umewekwa wazi na kila mwanachama anatakiwa kufika mapema akiwa na viambatanisho vyake vinavyomfanya kuwa na haki ya kushiriki mkutano huo.
Tazama Video hii hadi mwisho kuona Ukumbi wenyewe ulivyo pamoja na maelekezo kutoka kwa Mzee Kisiwa.