Ahmed amesema wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo ambao pamoja na kukiri tunaenda kukutana na mechi ngumu lakini malengo yetu ni kupata matokeo chanya.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu muda wa mchezo pamoja hali ya hewa.