Ahmed amesema hamasa zimefanyika, wachezaji wamefanya mazoezi ya mwisho na Uongozi umehakikisha kila kitu kinachotakiwa kinapatikana kwa wakati kilichobaki ni mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani ili tupate tiketi ya kufuzu robo fainali.
Tazama Mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu utaratibu wa mchezo utakavyokuwa.