Lukula amesema ukitaja timu bora 10 Afrika upande wa wanawake sisi tupo nafasi ya nne na hiyo inaonyesha ukubwa wa Simba kwa ujumla.
Lukula amesema moja ya changamoto tuliyokutana nayo kwenye michuano hii ni kutotumia vema nafasi tunazotengeneza hivyo washambuliaji wetu wanapaswa kuongeza umakini.
Advertisement
Tumekuekea mahojiano hapa.