Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Loemba afurahia bao lake la kwanza Simba

7 Mar 2026

Loemba amesema mwalimu anaendelea kumuamini na anazidi kuzoea mazingira pamoja na wachezaji wenzake kitu ambacho anaamini ataendelea kuisadia timu kupata alama tatu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Loemba amezungumzia pia mchezo wetu ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars.

Advertisement
Back to homepage
Share this story