Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Licha ya Ushindi Kocha Barker akubali haikuwa rahisi

11 Mar 2026

Barker amesema tumecheza vizuri kipindi cha kwanza na kutawala sehemu kubwa lakini cha pili Singida walikuwa imara na kufanya mashambulizi kadhaa lakini tulikuwa imara.

Tazama mahojiano haya mpaka mwisho Barker ametoa neno kwa mashabiki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story