Ahmed amesema Dodoma wanapaswa kumshukuru mlinda mlango huyo kwakuwa bila ya umahiri wake walikuwa wanapata kipigo kikubwa zaidi ya kile cha mabao 6-0 tulichowapa leo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amesema tumewakomoa kwasababu walikutudhihaki baada ya kuwafunga bao moja mzunguko wa kwanza.