Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Lakred ajiunga na wenzake Misri

10 Jul 2024

Ayoub ametoka nyumbani kwao Morocco na kujiunga moja kwa moja kambini na wenzake tayari kuendelea na maandalizi.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi alivyopokelewa na wenzake kambini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story