Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Lake Energies yafurahi ushirikiano na Simba

25 Mar 2025

Muharami amesema ushirikiano huo ni sehemu ya kurejesha kwa jamii ambapo watumiaji wa Simba Wese watakuwa wanapata pointi Kila wanapojaza mafuta Lake Energies na mwisho wa mwezi watakuwa wanapata zawadi mbalimbali.

Tazama video hii hadi mwisho Muharami amesema mipango yao ni kufanya ufunguzi mwingine katika mikoa ya Mwanza, Mbeya na Tanga.

Advertisement
Back to homepage
Share this story