Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kwenye mioyo yetu sisi ni Mabingwa wa Afrika

25 May 2025

Ahmed amesema kitendo cha kuvuka na kutinga fainali ni mafanikio makubwa kwetu kutokana na uchanga wa kikosi chetu mpaka benchi la ufundi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ameweka bayana kuwa hakuna wa kulaumiwa badala yake amewapongeza wachezaji na benchi la ufundi na kesho timu itarejea Dar es Salaam kwa kishindo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story