Simba Sports Club
News

Video: Kwa mara ya kwanza Mgunda afunguka kuhusu Robertinho

10 Jan 2023

Mgunda amesema kufanya kazi na kocha mkubwa kama Robertinho kutaliongezea nguvu benchi la ufundi na lengo ni moja kuifanya timu ipate ushindi.

Tamaza hadi mwisho mahojiano aliyofanya Mgunda na Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally.

Advertisement
Back to homepage
Share this story