Simba Sports Club
News

VIDEO: Kundi la pili la wachezaji lafanyiwa vipimo Muhimbili

4 Jul 2023

Daktari wa timu Edwin Kagabo amesema zoezi hili linasaidia benchi la ufundi kujua hali za wachezaji kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya.

Tazama hadi mwisho video hii uone alichosema Daktari, Edwin pamoja na wachezaji wakati zoezi hilo likiwa linaendelea.

Advertisement
Back to homepage
Share this story