Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kuna siku Uwanja utajaa ndani ya saa 72

3 Aug 2024

Ahmed amesema mwaka jana tulijaza uwanja siku mbili kabla, mwaka huu siku tatu kabla na huko tunapoelekea tiketi zitaisha ndani ya saa 72 kwakuwa mashabiki wanajua watapata furaha.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia ubora wa kikosi tulionao.

Advertisement
Back to homepage
Share this story