Sowah amesema akiwa High School mwalimu wake alimpanga nafasi ya ushambuliaji kutokana na umbo lake kubwa na katika mashindano hayo alifunga mabao mengi na kuisaidia timu yake kutwaa ubingwa na kutoka hapo ikawa historia.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Sowah amezungumzia pia kuhusu mipango yake kuelekea msimu mpya wa mashindano pamoja na ahdi aliyotoa kwa Wanasimba.