Simba Sports Club
News

VIDEO: Kumbe Ntibazonkiza ni Mtangazaji mzuri, cheki alivyomuhoji Kibu D

15 Jul 2023

Ntibazonkiza amemuuliza Kibu kuhusu usajili wa nyota wapya tuliowasajili ambao wengi wanacheza kwenye nafasi yake ambapo amefunguka kuwa anajiamini na atahahakikisha anapata nafasi.

Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili ujue nini kinaendelea kwenye kambi ya timu yetu nchini Uturuki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story