Kapombe amesema wakati benchi jipya la ufundi lilipofika chini ya Kocha Fadlu Davids liliweka wazi kuwa tunahitaji kutinga fainali msimu huu na maandalizi yake yalikuwa yanasadifu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kapombe amesema msimu huu kombe linakuja Tanzania.