Ally amesema hakuwa na presha kwakuwa amepata mafunzo mazuri kutoka kwa makocha pamoja na wenzake akimtaja Aishi Manula.
Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili kujua alikuwa anawaza nini baada ya kufika hatua hiyo muhimu na yenye presha hata kwa mlinda mlango.