Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kramo asimulia historia yake, Kumbe aliwahi kuwa beki

28 Jul 2023

Kramo raia wa Ivory Coast amesema mwanzoni alikuwa akicheza nafasi ya mlinzi wa kushoto lakini alivyosogezwa mbele kila kitu kilibadilika.

Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili kufahamu kila kitu kuhusu nyota huyu ambaye tumemsajili kutoka ASEC Mimosas.

Advertisement
Back to homepage
Share this story