Morocco amesema haikuwa rahisi kuichukua timu kwa muda mfupi ikiwa na inahitaji kushinda kmchezo wa marudiano kitu ambacho kilimfanya kukubali kuchukua mikoba hiyo kwakuwa aliamini anaweza.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Morocco amezungumzia kukosekana kwa mashabiki uwanjani.