Mgunda amesema mchezo wa kwanza tulishinda kwa mabao 5-0 wa pili tukashinda 3-0 lakini leo tumetoka sare ya 2-2 na hiyo inaonyesha ugumu wa mashindano haya.
Tazama video hii mpaka mwisho Mgunda amezungumzia pia mchezo wa Nusu Fainali dhidi ya Polisi Bullets ya Kenya.