Simba Sports Club
News

VIDEO: Kocha Mgunda aelezea Maandalizi ya mchezo dhidi ya Yanga

13 Apr 2023

Mgunda amesema wachezaji ambao walipata maumivu kwenye mechi zilizopita wote wamerejea mazoezini na wapo sehemu ya maandalizi kuelekea Jumapili.

Tazama hadi mwisho mahojiano haya aliyofanyiwa Mgunda kutoka kambini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story