Kocha Fadlu amesema wachezaji mmoja mmoja wanaonyesha uwezo mkubwa na kuwapa matumaini benchi la ufundi na kwa sasa wanahakikisha wanakuwa na utimamu wa mwili.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia kuhusu mechi za kirafiki pamoja na Simba Day.