Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kocha Fadlu azungumzia mchezo dhidi ya Mashujaa

1 Nov 2024

Kocha Fadlu ametoa lawama kwa waamuzi kwa kushindwa kutoa penati kama ilivyokuwa mechi iliyopita ya watani lakini mwisho wa siku tumepata pointi tatu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia kuhusu ugumu wa ratiba.

Advertisement
Back to homepage
Share this story