Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kocha Fadlu aweka wazi kuhusu Dabi

11 Jun 2025

Fadlu amesema anafahamu wapinzani wetu wanafanya maandalizi nje ya uwanja na Juni 15 watakuja hivyo tupo tayari kupambana.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu ameweka wazi kila kitu kuhusu Dabi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story