Kocha Fadlu amesema inabidi afanye mabadiliko ya kikosi mara kwa mara kutokana na ratiba kuwa ngumu kutokana na kucheza mechi kila baada ya siku tatu lakini wachezaji wameonyesha kuelewa maelekezo yake.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia mchezo unaofuata dhidi ya JKT Tanzania.