Fadlu amesema msimu uliopita tulipoteza mataji yote na pia tulimaliza nafasi ya tatu kwenye msimamo lakini msimu huu tumefika fainali ya Kombe la Shirikisho huku tukipigania ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia kuhusu ubora wa wachezaji.