Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kocha Fadlu atoa kauli baada ya kupangwa na Al Masry Robo Fainali Shirikisho

20 Feb 2025

Fadlu amesema kwenye hatua hii hakuna mechi nyepesi huku akiweka wazi hali ya hewa ya Misri tukiwa tunaifahamu kutokana na kwenda kuweka kambi mwanzoni mwa msimu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia umuhimu wa mashabiki kwenye mchezo wa marudiano nyumbani.

Advertisement
Back to homepage
Share this story