Fadlu amesema haikuwa rahisi kutokana na hali ya hewa ya mvua iliyofanya sehemu ya kucheza kujaa maji lakini wachezaji walijituma na mashabiki walishangilia muda wote huku benchi la ufundi likimpa mbinu mlinda mlango Moussa Camara ambaye aliokoa penati mbili.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Fadlu amewaambia wachezaji wasisherehekee sana bado tuna kazi kubwa mbele yetu.