Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kocha Fadlu aridhishwa na kiwango

16 Sep 2024

Kocha Fadlu amesema tulikuwa na nafasi ya kupata mabao kipindi cha kwanza kwakuwa tulitengeneza nafasi lakini hatukuzitumia vizuri.

Tazama video hii hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia umuhimu wa mashabiki kuelekea mchezo wetu wa marudiano wikiendi ijayo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story