Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kocha Fadlu anawaamini wachezaji wote kikosini

18 Dec 2024

Kocha Fadlu amesema anafurahi kuwa na kikosi chake kamili kwakuwa ratiba ya mechi zimekuwa zinafuatana kila baada ya siku mbili ndio maana amekuwa akifanya mabadiliko ya mara kwa mara.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia viwango vya wachezaji mmoja mmoja.

Advertisement
Back to homepage
Share this story