Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kocha Fadlu akiri alitegemea ugumu kutoka kwa Stellenbosch

21 Apr 2025

Fadlu amesema kwenye mchezo wa leo tulistahili kupata ushindi mnono wa mabao mpaka manne lakini nafasi tulizopata tulishindwa kuzitumia huku akiwataka wachezaji kuhakikisha tunafanya vizuri mechi inayokuja.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Fadlu ameweka wazi kuwa Simba ni timu kubwa na inahitaji kutinga fainali.

Advertisement
Back to homepage
Share this story