Kocha Fadlu ameongeza kuwa amefanya mabadiliko ya wachezaji watano ukilinganisha na mchezo uliopita kutokana na baadhi ya nyota kupata maumivu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho mchezaji bora wa mechi na mfungaji wa bao pekee Che Malone amezungumzia kiwango chake na mechi kwa ujumla.