Kocha Fadlu amesema idara zote kuanzia golikipa, walinzi, viungo na washambuliaji kimeimarika na kuelekea mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli.
Tazama video hii hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia kuhusu tuzo ya ya Kocha bora wa mwezi.