Ahmed amesema akiwa kwenye kozi hiyo kocha Benchikha atakosa mechi mbili dhidi ya Coastal Union na Geita Gold kabla ya kurejea kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu timu kuwa chini ya Kocha Fareed na Matola.