Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kocha Basigi atoboa Siri ya ushindi

13 Nov 2024

Basigi amesema kipindi cha pili tulitengeneza nafasi nyingi na tulicheza zaidi katika eneo la mpinzani ingawa hatukuweza kuzitumia vizuri.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Basigi amefunguka kiufundi kuhusu mchezo mzima ulivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story