Barker amesema tuliweza kuwadhibiti wapinzani wetu kila eneo na hawakuwa na hatari sana langoni kwetu lakini sisi tulishindwa kuzitumia nafasi zilizopatikana ipasavyo na hii inatokana na kupata muda mfupi wa kufanya maandalizi.
News
Videos
VIDEO: Kocha Barker amesema tulistahili kuwafunga zaidi ya Bao moja Muembe Makumbi
4 Jan 2026