Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kituo kinachofuata ni Yanga Princess

28 Dec 2023

Corazone amesema ligi imekuwa ngumu na timu zote zumejiandaa vizuri na tunaenda mazoezini kujiwinda na Yanga lengo likiwa ni kuchukua pointi zote tatu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Corazone amefunguka hali ya wachezaji wenzake kuelekea malengo ya klabu msimu huu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story