Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kitta aeleza sababu ya timu kufikia Arusha

29 May 2025

Kitta amesema ratiba yetu ni ngumu kutokana na kukabiliwa na mechi kila baada ya siku mbili hivyo tunajitahidi kuweka mipango sawa ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kitta ametoa siri ya ubora wa kikosi tulichonacho.

Advertisement
Back to homepage
Share this story