Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kipigo tulichowapa Dodoma ni kuwakumbusha nafasi yao

12 Apr 2026

Ahmed amesema sare ya bila kufungana waliopa dhidi yetu walikuwa wanajiona kama wapo sawa na sisi lakini leo tumewaonyesha kuwa tupo juu yao kwenye kila kitu.

Tazama video hii mpaka mwisho Ahmed amefunguka mengi kuhusu mchezo huo pamoja na ratiba nzima ya timu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story