Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kinda Adolf afunguka alichoambiwa na Fadlu kabla ya kuingia uwanjani

13 Apr 2025

Adolf amesema alipoingia uwanjani alijitahidi kuonyesha uwezo wake kwa ajili ya kuthibitisha uwezo wake kwa benchi la ufundi pamoja na mashabiki.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Adolf ameweka wazi kuwa pesa alizopewa na mashabiki ataongezea na aliyopewa na Kibu na kwenda kununua viatu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story