Che Malone amesema kila mchezaji anayepata nafasi anakuwa na ari ya kupambana na ndicho kinachoipa timu ushindi mnono kama tulioupata leo dhidi ya KMC.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Che Malone amezungumzia mechi za makundi za Kombe la Shirikisho Afrika.