Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kikosi kuondoka kesho kwenda Misri

7 Jul 2024

Ahmed amesema kesho litaondoka kundi la kwanza la watu 30 na Julai 10 kundi la pili ambalo litakuwa na wachezaji wageni na watu wa benchi la ufundi ambao wamechelewa kupata visa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu mlinda mlango Ayoub Lakred.

Advertisement
Back to homepage
Share this story